karibu sana rafiki. hii ni blog ya kirafiki unakaribishwa kutoa mchango wako wa mawazo. tutakuwa tukipeana habari tofauti tofauti zihusuzo uchumi michezo na mengi mengine. unaobwa kutumia lugha nzuri isiyoweza kuleta kero kwa wengine . karibu
inasemekana wanafunzi wa jinsia ya kiume katika vyuo vyetu wanapata shida sana kwenye discusion . na hili ni pale wanapojichanganya na wadada sijui kuna ukweli eti rafiki nini mtazamo wako?