MUNGU YUPO NA ANAISHI

3 Aug

Binadamu ni kazi ya Mungu, Tuliubwa ili tuyatende mapenzi yake yeye aliyetuumba, Sisi ni kazi ya mikono yake. Hivyo chochote tufanyacho hapa Duniani lazima tujue kuwa tutatoa hesabu ya hicho tukifanyacho. Hivyo Mungu tumpe nafasi ya kwanza katika maisha yetu, kila tufanyacho tumshirikishe kwanza. Sio mpaka tushindwe ndiyo tumuite. kila siku tunatakiwa kuomba na kusoma neno. tudumishe ushirikiano mwema na Mungu wetu hapo kila tulifanyalo litafanikiwa .Amin

Advertisements

4 Responses to “MUNGU YUPO NA ANAISHI”

 1. Mr WordPress August 3, 2009 at 2:09 pm #

  Hi, this is a comment.To delete a comment, just log in, and view the posts’ comments, there you will have the option to edit or delete them.

  • thomnel November 18, 2009 at 1:21 pm #

   Hi, Mr wordpress. I’m having a problem with my blog. some peoples who visited my blog fells to send coment due to the fact that they don’t want to use their names, they want to comment us synonymous but they fell. so what can i do to make my visites to comments without any problem?

   Second. how can i set different topics to the right or left of my blog.

   Thomas

 2. Thomas August 3, 2009 at 2:14 pm #

  please let all comment pass first in my email

 3. thomnel August 4, 2009 at 3:44 pm #

  Ni kweli unywaji pombe uliopindukia husababisha madhara katika maisha ya mhusika na jamii kwa ujumla, Mlevi hawezi kuwa na mchango wa mawazo mazuri katika ujenzi wa familia yake. pia kama atakuwa ni mlevi aliyepitiliza basi hata taifa hawezi kulisaidia sababu hawezi kufanya kazi kwa bidii na matokeo yake ni kuongezeka kwa umasikini

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: