Flaviana Matata mmoja kati ya walembo wanaiwakilisha vyema nchi yetu ametoa maoni yake kuhusu mateso anayopa mtoto wa kitanzania pindi anapohitaji kupata haki yake ya kielimu.

17 Nov

Advertisements

One Response to “Flaviana Matata mmoja kati ya walembo wanaiwakilisha vyema nchi yetu ametoa maoni yake kuhusu mateso anayopa mtoto wa kitanzania pindi anapohitaji kupata haki yake ya kielimu.”

  1. maranatha November 18, 2009 at 1:37 pm #

    Jamani huyu dada ni mzuri na pia ana akiri nyingi, nimependa machango wake wa mawazo. kama warembo wetu wengi wangekuwa hivyo basi chi yetu ingepiga hatua sana.

    lakini mimi nadhani na ninaamini kwamba wafadhiri wa kweli katika suala zima la maendelea ni sisi wenyewe wa tanzania.

    Pafike mahari kila kaya ipange namna ya kudhaa watoto na kuwalea na kuwasomesha. tukifika hapo elimu tutakuwa tumejikwamua kimaendeleao.
    Asante ni mimi pangu pakavu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: