MARAFIKI

31 Dec

TUNAINGIA MWAKA MPYA. TUMUOMBE MUNGU AWE PAMOJA NASI, YEYE NDIYE NGUVU ZETU NA MSAADA WETU PASIPO YEYE HATUWEZI FANYA CHOCHOTE. NAWATAKIA MARAFIKI WOTE HERI YA MWAKA MPYA 2010.
KWANGU UTAKUWA MWAKA WA MAFANIKIO MAKUBWA KULIKO HAYA YA 2009. MWAKA 2009 NITAUKUBUKA KWANGU ULIKUWA MZURI SANA. NIMEFANIKIWA KUTIMIZA MALENGO YANGU YOTE NILIYOKUWA NIMEYAPANGA. LAKINI YOTE NI KWA MSAADA WA MUNGU KUPITIA KWA JINA LA YESU.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: