Rais wa Poland afariki katika ajari, alikuwa amekwenda nchi Urusi kuhudhuria maadhimisho ya siku ya wahanga wa vita waliouwawa miaka ya Usoviety, Rais na mkewe, pamoja na baadhi ya viongozi wa serikari ya Polandi wameuwawa katika ajari hiyo, inasemekana zaidi ya watu mia ishirini na sita waliokuwemo kwenye ndege wameuwawa. pichani ni wananchi wakiweka shada za mauwa kama ishara ya kutoa heshima zao za mwisho

12 Apr

Advertisements

One Response to “Rais wa Poland afariki katika ajari, alikuwa amekwenda nchi Urusi kuhudhuria maadhimisho ya siku ya wahanga wa vita waliouwawa miaka ya Usoviety, Rais na mkewe, pamoja na baadhi ya viongozi wa serikari ya Polandi wameuwawa katika ajari hiyo, inasemekana zaidi ya watu mia ishirini na sita waliokuwemo kwenye ndege wameuwawa. pichani ni wananchi wakiweka shada za mauwa kama ishara ya kutoa heshima zao za mwisho”

  1. Safari May 5, 2010 at 7:31 am #

    Naona kazi imekushinda kaka.. Tangu Aprili 12??

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: